-
Hesabu 25:7, 8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Finehasi+ mwana wa Eleazari mwana wa kuhani Haruni alipoona jambo hilo, aliinuka mara moja kutoka kati ya Waisraeli waliokusanyika, akachukua mkuki. 8 Kisha akamfuata mwanamume huyo Mwisraeli mpaka hemani, akawachoma mkuki wote wawili, nao ukapenya kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke huyo. Ndipo pigo lililowapata Waisraeli likakomeshwa.+
-