Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 1:12-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kisha Yoshua akawaambia hivi watu wa kabila la Rubeni, Gadi, na nusu ya kabila la Manase: 13 “Kumbukeni amri ambayo Musa mtumishi wa Yehova aliwapa aliposema,+ ‘Yehova Mungu wenu anawapumzisha, naye amewapa nchi hii. 14 Wake zenu, watoto wenu, na wanyama wenu wa kufugwa watakaa katika nchi ambayo Musa amewapa upande huu* wa Yordani,+ lakini ninyi nyote mashujaa hodari+ mnapaswa kuvuka na kuwatangulia ndugu zenu mkiwa mmejipanga kivita.+ Mnapaswa kuwasaidia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki