Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 19:36, 37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Kwa hiyo mabinti wote wawili wa Loti wakapata mimba kutoka kwa baba yao. 37 Mzaliwa wa kwanza alizaa mwana na kumpa jina Moabu.+ Yeye ndiye baba ya Wamoabu wa leo.+

  • Hesabu 21:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Halafu wakaondoka Obothi na kupiga kambi Iye-abarimu,+ katika nyika inayoelekeana na Moabu, upande wa mashariki.

  • Hesabu 21:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Wakaondoka huko na kupiga kambi katika eneo la Arnoni,+ lililo katika nyika inayoanzia kwenye mpaka wa Waamori, kwa maana eneo la Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Wamoabu na Waamori.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki