Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nitashuka huko ili niwaokoe kutoka mikononi mwa Wamisri+ na kuwapandisha kutoka katika nchi hiyo na kuwapeleka katika nchi nzuri na kubwa, nchi inayotiririka maziwa na asali,+ eneo la Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi.+

  • Kutoka 23:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kwa maana malaika wangu atawatangulia na kuwapeleka katika nchi ya Waamori, Wahiti, Waperizi, Wakanaani, Wahivi, na Wayebusi, nami nitawaangamiza.+

  • Hesabu 34:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Wape Waisraeli maagizo haya: ‘Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani,+ nchi mtakayoirithi, hii ndiyo itakayokuwa mipaka ya nchi hiyo ya Kanaani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki