Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 5:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 ni lazima mwanamume huyo ampeleke mke wake kwa kuhani pamoja na toleo kwa ajili yake, yaani, sehemu ya kumi ya kipimo cha efa* ya unga wa shayiri. Hapaswi kumimina mafuta juu ya toleo hilo wala kutia ubani juu yake, kwa sababu ni toleo la nafaka la wivu, toleo la nafaka ambalo ni kumbukumbu la hatia.

  • Hesabu 5:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kuhani atachukua toleo la nafaka la wivu+ kutoka mikononi mwa mwanamke huyo na kulitikisa kwenda mbele na nyuma mbele za Yehova, kisha atalileta karibu na madhabahu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki