Hesabu 6:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 “‘Hii ndiyo sheria inayomhusu Mnadhiri: Atakapomaliza siku zake za kuwa Mnadhiri,+ ataletwa kwenye mlango wa hema la mkutano. Hesabu 6:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 “‘Halafu ni lazima Mnadhiri huyo anyoe nywele za kichwa chake*+ kwenye mlango wa hema la mkutano, naye atachukua nywele hizo za Unadhiri wake na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya ushirika.
13 “‘Hii ndiyo sheria inayomhusu Mnadhiri: Atakapomaliza siku zake za kuwa Mnadhiri,+ ataletwa kwenye mlango wa hema la mkutano.
18 “‘Halafu ni lazima Mnadhiri huyo anyoe nywele za kichwa chake*+ kwenye mlango wa hema la mkutano, naye atachukua nywele hizo za Unadhiri wake na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya ushirika.