Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 1:32, 33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Lakini licha ya hayo yote, hamkuwa na imani katika Yehova Mungu wenu,+ 33 aliyekuwa akiwatangulia njiani ili apeleleze mahali mtakapopiga kambi. Alitokea kwa moto wakati wa usiku na kwa wingu wakati wa mchana ili awaonyeshe njia mnayopaswa kufuata.+

  • Yoshua 3:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 na kuwaamuru watu, “Mara tu mtakapoliona sanduku la agano la Yehova Mungu wenu likiwa limebebwa na makuhani Walawi,+ mwondoke na kulifuata, 4 ili mjue njia ya kupita kwa kuwa hamjawahi kupita njia hiyo, lakini muwe umbali wa mikono 2,000* hivi kutoka kwenye sanduku hilo; msilikaribie zaidi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki