Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 16:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kwa hiyo Yehova akamwambia Musa: “Mtakataa kushika amri na sheria zangu mpaka lini?+

  • Hesabu 14:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Hata hivyo, hakuna mtu hata mmoja aliyeona utukufu wangu na miujiza+ niliyofanya nchini Misri na nyikani ambaye bado ananijaribu+ mara hizi kumi na kukataa kusikiliza sauti yangu+ 23 ataiona nchi niliyoapa kwamba nitawapa baba zao. Hakuna mtu hata mmoja anayenidharau atakayeiona.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki