Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 38:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti ya Mkanaani fulani+ aliyeitwa Shua. Basi akamwoa na kulala naye,

  • Mwanzo 38:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa mara nyingine tena akazaa mwana na kumpa jina Shela. Shela alipozaliwa, Yuda alikuwa Akzibu.+

  • Mwanzo 38:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Basi Yuda akavichunguza na kusema: “Yeye ni mwadilifu kuliko mimi, kwa sababu sikumruhusu Shela mwanangu amwoe.”+ Yuda hakufanya ngono naye tena baada ya hayo.

  • 1 Mambo ya Nyakati 4:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Wana wa Shela+ mwana wa Yuda walikuwa Eri baba ya Leka, Laada baba ya Maresha, na familia za wafumaji wa vitambaa bora wa nyumba ya Ashbea,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki