-
Mambo ya Walawi 10:6, 7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kisha Musa akamwambia Haruni na wanawe waliobaki, Eleazari na Ithamari: “Msikose kutunza nywele zenu na msirarue mavazi yenu,+ msije mkafa na kumfanya Mungu awakasirikie Waisraeli wote. Ndugu zenu wote wa nyumba ya Israeli watawaombolezea wale ambao Yehova amewaangamiza kwa moto. 7 Msitoke nje ya mlango wa hema la mkutano msije mkafa, kwa sababu Yehova amewatia mafuta.”+ Basi wakafanya kama Musa alivyosema.
-