Mambo ya Walawi 17:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 “‘Mwisraeli yeyote au mgeni yeyote anayeishi miongoni mwenu akiwinda na kumkamata mnyama wa mwituni au ndege anayeweza kuliwa, ni lazima amwage damu yake+ chini na kuifunika kwa udongo. Kumbukumbu la Torati 15:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Lakini hampaswi kula damu yake;+ mtaimwaga ardhini kama maji.+
13 “‘Mwisraeli yeyote au mgeni yeyote anayeishi miongoni mwenu akiwinda na kumkamata mnyama wa mwituni au ndege anayeweza kuliwa, ni lazima amwage damu yake+ chini na kuifunika kwa udongo.