Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 21:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Wakaondoka huko na kupiga kambi katika eneo la Arnoni,+ lililo katika nyika inayoanzia kwenye mpaka wa Waamori, kwa maana eneo la Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Wamoabu na Waamori.

  • Waamuzi 11:17, 18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kisha Waisraeli wakatuma wajumbe kwa mfalme wa Edomu,+ wakisema, “Tafadhali turuhusu tupitie katika nchi yako,” lakini mfalme wa Edomu akakataa. Kisha wakatuma wajumbe kwa mfalme wa Moabu,+ naye pia akakataa. Basi Waisraeli wakaendelea kukaa Kadeshi.+ 18 Walipopitia nyikani, waliizunguka nchi ya Edomu+ na nchi ya Moabu. Wakapitia upande wa mashariki wa nchi ya Moabu+ na kupiga kambi katika eneo la Arnoni; hawakufika kwenye mpaka wa Moabu kwa sababu Mto Arnoni ulikuwa mpaka wa Moabu.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 20:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa tazama, ndio hawa wanaume wa Amoni, Moabu, na eneo lenye milima la Seiri,+ ambao hukuwaruhusu Waisraeli wawavamie walipotoka nchini Misri. Waligeuka na kwenda mbali nao na hawakuwaangamiza.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki