-
Hesabu 20:17, 18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Tafadhali turuhusu tupite katika nchi yako. Hatutapita katika mashamba yenu au shamba lolote la mizabibu, nasi hatutakunywa maji ya kisima chochote. Tutafuata Barabara ya Mfalme bila kugeuka kulia au kushoto mpaka tutakapokuwa tumepita katika eneo lako.’”+
18 Hata hivyo, mfalme wa Edomu akamwambia, “Usipite katika eneo letu. Ukipita, nitatoka na kukushambulia kwa upanga.”
-