Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 25:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ikiwa mtu mwovu anastahili kupigwa viboko,+ mwamuzi atamwagiza alale chini kifudifudi, na mtu huyo atapigwa viboko mbele yake. Idadi ya viboko inapaswa kulingana na uovu aliotenda.

  • Methali 10:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Hekima hupatikana kwenye midomo ya mtu mwenye utambuzi,+

      Lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wa mtu asiye na busara.*+

  • Methali 19:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Hukumu inawangojea wadhihaki,+

      Na mgongo wa wapumbavu unangojea mapigo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki