Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 18:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “‘Usifanye ngono na mwanamke na binti yake.+ Usimchukue binti ya mwana wa mwanamke huyo na binti ya binti yake ili kufanya nao ngono. Wao ni watu wake wa karibu wa ukoo; hilo ni tendo chafu linalochukiza.*

  • Mambo ya Walawi 20:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “‘Mwanamume akimwoa mwanamke na afanye ngono na mama ya mwanamke huyo, ni tendo chafu linalochukiza.*+ Anapaswa kuchomwa moto+ pamoja na wanawake hao, ili mwenendo huo mchafu unaochukiza usiendelee miongoni mwenu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki