Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 26:18, 19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Na leo mmemtangazia Yehova kwamba mtakuwa watu wake, mali yake ya pekee,*+ kama alivyowaahidi, na kwamba mtashika amri zake zote 19 na kwamba atawakweza juu ya mataifa mengine yote ambayo ameyatokeza,+ akiwapa sifa na umaarufu na utukufu mnapothibitisha kwamba ninyi ni taifa takatifu kwa Yehova Mungu wenu,+ kama alivyoahidi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki