-
Yoshua 18:19, 20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kisha ukaendelea hadi kwenye mteremko wa kaskazini wa Beth-hogla,+ na kufika katika ghuba ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi+ upande wa kusini wa Yordani. Huo ndio uliokuwa mpaka wa kusini. 20 Na Mto Yordani ulikuwa mpaka wa mashariki. Huo ndio uliokuwa urithi wa wazao wa Benjamini kulingana na koo zao, na hiyo ndiyo mipaka yao yote.
-