Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 20:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 “Mkienda vitani kupigana na maadui wenu na kuona kwamba farasi wao na magari yao ya vita na wanajeshi wao ni wengi kuliko ninyi, msiwaogope, kwa maana Yehova Mungu wenu aliyewatoa nchini Misri yuko pamoja nanyi.+

  • Waamuzi 1:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Yehova alikuwa pamoja na watu wa kabila la Yuda, nao wakamiliki eneo lenye milima, lakini hawakuweza kuwafukuza wakaaji wa bondeni,* kwa sababu walikuwa na magari ya vita yenye miundu ya chuma.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki