Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 11:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Yoshua akarudi na kuliteka Hasori, akamuua mfalme wake kwa upanga,+ kwa sababu Hasori lilikuwa jiji kuu kati ya falme hizo zote.

  • Waamuzi 4:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa hiyo Yehova akawatia mikononi mwa* Yabini mfalme wa Kanaani,+ aliyetawala Hasori. Mkuu wa jeshi lake aliitwa Sisera, naye aliishi Haroshethi+ ya mataifa.*

  • 1 Samweli 12:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Lakini walimsahau Yehova Mungu wao, naye akawauza+ mikononi mwa Sisera+ mkuu wa jeshi la Hasori na mikononi mwa Wafilisti+ na mikononi mwa mfalme wa Moabu,+ na maadui hao wakapigana nao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki