Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 33:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Baada ya kuondoka Padan-aramu,+ Yakobo akafika salama salimini kwenye jiji la Shekemu+ katika nchi ya Kanaani,+ naye akapiga kambi karibu na jiji hilo.

  • Yoshua 21:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na Walawi waliobaki wa koo za Wakohathi walipewa majiji kwa kura katika eneo la kabila la Efraimu. 21 Waliwapa jiji la makimbilio kwa ajili ya muuaji,+ yaani, jiji la Shekemu+ na malisho yake katika eneo lenye milima la Efraimu, Gezeri+ na malisho yake,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki