Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 25:33, 34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Mlawi asipokomboa nyumba yake, nyumba hiyo iliyouzwa katika jiji la Walawi itarudishwa wakati wa Mwadhimisho wa Miaka 50,+ kwa sababu nyumba zilizo katika majiji ya Walawi ni urithi wao miongoni mwa Waisraeli.+ 34 Isitoshe, malisho+ yanayozunguka majiji yao hayapaswi kuuzwa, kwa sababu ni urithi wao wa kudumu.

  • Hesabu 35:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Malisho ya majiji mtakayowapa Walawi yatakuwa na upana wa mikono 1,000* kila upande kutoka kwenye ukuta wa jiji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki