-
Kumbukumbu la Torati 28:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Ng’ombe dume wako atachinjwa mbele ya macho yako, lakini hutakula nyama yake. Punda wako ataibwa mbele ya macho yako, lakini hatarudishwa. Maadui wako watapewa kondoo wako, lakini hakuna atakayekusaidia.
-