Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 9:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Baada ya muda Abimeleki+ mwana wa Yerubaali akaenda Shekemu kwa ndugu za mama yake na kwa familia yote ya babu yake,* akawaambia hivi: 2 “Tafadhali waulizeni viongozi wote* wa Shekemu, ‘Je, ni afadhali zaidi kwenu kutawaliwa na wana wote 70 wa Yerubaali+ au na mtu mmoja tu? Kumbukeni kwamba mimi ni mfupa wenu na nyama yenu.’”*

  • 2 Samweli 11:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ni nani aliyemuua Abimeleki+ mwana wa Yerubeshethi?+ Je, si mwanamke aliyemwangushia jiwe la juu la kusagia kutoka juu ya ukuta na kumuua kule Thebesi? Kwa nini mlienda karibu sana na ukuta?’ Kisha utamwambia, ‘Pia mtumishi wako Uria Mhiti amekufa.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki