Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 34:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Wape Waisraeli maagizo haya: ‘Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani,+ nchi mtakayoirithi, hii ndiyo itakayokuwa mipaka ya nchi hiyo ya Kanaani.+

  • Hesabu 34:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kisha mpaka huo utapinda na kwenda upande wa kusini wa mwinuko wa Akrabimu,+ nao utaendelea mpaka Zini na kuishia upande wa kusini wa Kadesh-barnea.+ Kisha utaenda Hasar-adari+ na kuendelea mpaka Asimoni.

  • Yoshua 15:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na uliendelea upande wa kusini kwenye mwinuko wa Akrabimu,+ ukavuka hadi Zini, na kupanda kutoka kusini hadi Kadesh-barnea,+ kufika Hezroni, Adari, na kuzunguka hadi Karka.

  • Yoshua 15:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki