Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 20:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Ndipo Waisraeli wote kutoka Dani+ hadi Beer-sheba na kutoka nchi ya Gileadi+ wakakusanyika kwa umoja* mbele za Yehova kule Mispa.+

  • 1 Samweli 10:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kisha Samweli akawaita watu ili wakusanyike mbele za Yehova huko Mispa,+

  • 2 Wafalme 25:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Wakuu wote wa jeshi na wanajeshi wao waliposikia kwamba mfalme wa Babiloni amemchagua Gedalia, mara moja wakaenda kwa Gedalia huko Mispa. Wakuu hao ni Ishmaeli mwana wa Nethania, Yohanani mwana wa Karea, Seraya mwana wa Tanhumethi Mnetofa, na Yaazania mwana wa Mmaakathi, pamoja na wanajeshi wao.+

  • Yeremia 40:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi Yeremia akaenda kwa Gedalia mwana wa Ahikamu kule Mispa+ na kukaa pamoja naye miongoni mwa watu waliobaki nchini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki