Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 1:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 1 Sasa kulikuwa na mwanamume fulani kutoka Ramathaim-sofimu*+ katika eneo lenye milima la Efraimu+ aliyeitwa Elkana,+ mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu, mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu.

  • 1 Samweli 8:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Baada ya muda wazee wote wa Waisraeli walikusanyika pamoja na kuja kumwona Samweli huko Rama.

  • 1 Samweli 19:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Basi Daudi alikimbia na kutoroka, akafika kwa Samweli kule Rama.+ Akamwambia mambo yote ambayo Sauli alikuwa amemtendea. Kisha yeye na Samweli wakaenda zao, wakakaa kule Naiothi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki