19 Samweli akamjibu Sauli: “Mimi ndiye mwonaji. Panda utangulie mbele yangu mahali pa juu, nawe utakula pamoja nami leo.+ Asubuhi nitakuruhusu uende, nami nitakueleza mambo yote unayotaka kujua.*
27 Mfalme akamwambia kuhani Sadoki: “Je, wewe si mwonaji?+ Rudi jijini kwa amani, na pia wachukue wana wenu wawili, Ahimaazi mwana wako na Yonathani+ mwana wa Abiathari.
22 Wote waliochaguliwa kuwa walinzi kwenye vizingiti walikuwa 212. Waliishi katika vijiji vyao kulingana na orodha ya ukoo wao.+ Daudi na Samweli yule mwonaji+ waliwaweka katika wadhifa wa kuaminiwa.