Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 10:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Samweli akawaambia watu wote: “Je, mnamwona yule ambaye Yehova amemchagua,+ kwamba hakuna yeyote aliye kama yeye kati ya watu wote?” Basi watu wote wakaanza kupiga kelele wakisema: “Mfalme na aishi muda mrefu!”

  • 1 Samweli 15:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Samweli akamwambia: “Je, hukujiona kuwa mtu asiyefaa+ ulipowekwa kuwa kiongozi wa makabila ya Israeli na Yehova alipokutia mafuta kuwa mfalme wa Israeli?+

  • Matendo 13:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini baadaye wakaomba wapewe mfalme,+ na Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi, mwanamume wa kabila la Benjamini,+ kwa miaka 40.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki