1 Samweli 17:58 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 58 Ndipo Sauli akamuuliza: “Mvulana, wewe ni mwana wa nani?” Daudi akamjibu: “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese+ Mbethlehemu.”+ Mika 5:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Na wewe, Ee Bethlehemu Efratha,+Uliye mdogo sana usiweze kuwa miongoni mwa maelfu ya* Yuda,+Kutoka kwako atatoka kwa ajili yangu yule atakayekuwa mtawala katika Israeli,Ambaye asili yake ni ya tangu nyakati za kale, tangu siku za zamani za kale. Mathayo 2:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 ‘Na wewe, ewe Bethlehemu ya nchi ya Yuda, wewe si mji mdogo zaidi miongoni mwa magavana wa Yuda, kwa maana kutoka kwako atakuja kiongozi, atakayewachunga watu wangu Israeli.’”+
58 Ndipo Sauli akamuuliza: “Mvulana, wewe ni mwana wa nani?” Daudi akamjibu: “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese+ Mbethlehemu.”+
2 Na wewe, Ee Bethlehemu Efratha,+Uliye mdogo sana usiweze kuwa miongoni mwa maelfu ya* Yuda,+Kutoka kwako atatoka kwa ajili yangu yule atakayekuwa mtawala katika Israeli,Ambaye asili yake ni ya tangu nyakati za kale, tangu siku za zamani za kale.
6 ‘Na wewe, ewe Bethlehemu ya nchi ya Yuda, wewe si mji mdogo zaidi miongoni mwa magavana wa Yuda, kwa maana kutoka kwako atakuja kiongozi, atakayewachunga watu wangu Israeli.’”+