Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 9:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Kesho wakati kama huu, nitatuma mtu kwako kutoka katika nchi ya Benjamini.+ Utamtia mafuta awe kiongozi juu ya watu wangu Waisraeli,+ naye atawaokoa watu wangu kutoka mikononi mwa Wafilisti. Kwa sababu nimeyaona mateso ya watu wangu, na kilio chao kimenifikia.”+ 17 Samweli alipomwona Sauli, Yehova akamwambia: “Huyu ndiye mtu niliyekwambia, ‘Yeye ndiye atakayewaongoza watu wangu.’”*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki