Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 19:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi Yonathani akamsifu Daudi+ mbele ya Sauli baba yake. Akamwambia: “Mfalme, usimtendee dhambi mtumishi wako Daudi kwa sababu yeye hajakutendea dhambi na mambo aliyokufanyia yamekunufaisha.

  • 1 Samweli 20:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Hata hivyo, Yonathani akamwambia Sauli baba yake: “Kwa nini auawe?+ Amefanya nini?”

  • 1 Samweli 24:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Tazama baba yangu, angalia nimeshika upindo wa joho lako lisilo na mikono; kwa sababu nilipokata upindo wa joho lako lisilo na mikono, sikukuua. Sasa unaweza kuona na kuelewa kwamba sikusudii kukudhuru wala kukuasi, nami sijakutendea dhambi,+ lakini wewe unaniwinda ili kuniua.*+

  • 1 Samweli 26:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Yehova ndiye atakayemlipa kila mtu kulingana na uadilifu wake mwenyewe+ na uaminifu wake mwenyewe, kwa kuwa leo Yehova alikutia mikononi mwangu, lakini sikutaka kuinua mkono wangu dhidi ya mtiwa-mafuta wa Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki