Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Basi Samweli akachukua ile pembe ya mafuta+ na kumtia mafuta mbele ya ndugu zake. Na roho ya Yehova ikaanza kumtia nguvu Daudi kuanzia siku hiyo na kuendelea.+ Baadaye Samweli akainuka na kwenda zake Rama.+

  • 2 Samweli 2:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kisha wanaume wa Yuda wakaja, na huko wakamtia mafuta Daudi awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda.+

      Wakamwambia Daudi: “Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.”

  • 2 Samweli 5:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Basi wazee wote wa Israeli wakaja kwa mfalme huko Hebroni, na Mfalme Daudi akafanya agano nao+ huko Hebroni mbele za Yehova. Kisha wakamtia mafuta Daudi awe mfalme wa Israeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki