Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 7:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na Wamisri watajua kwa hakika kwamba mimi ni Yehova+ nitakapounyoosha mkono wangu dhidi ya Misri na kuwatoa Waisraeli miongoni mwao.”

  • Zaburi 78:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Jinsi alivyoonyesha ishara zake kule Misri+

      Na miujiza yake katika eneo la Soani,

  • Zaburi 78:51
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 51 Mwishowe aliwaangamiza wazaliwa wote wa kwanza wa Misri,+

      Mwanzo wa nguvu zao za uzazi katika mahema ya Hamu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki