Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo Yoshua akararua mavazi yake na kuanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la Yehova mpaka jioni, yeye pamoja na wazee wa Israeli, nao wakaendelea kujirushia mavumbi vichwani.

  • Esta 4:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Mordekai+ alipojua mambo yote yaliyofanywa+ akayararua mavazi yake, akavaa nguo za magunia na kujimwagia majivu. Kisha akaenda katikati ya jiji, akilia kwa sauti kubwa na kwa uchungu.

  • Yeremia 6:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Ee binti ya watu wangu,

      Vaa nguo za magunia+ na ugaegae katika majivu.

      Omboleza kana kwamba unamwombolezea mwana wa pekee, kwa kilio cha uchungu,+

      Kwa maana mwangamizaji atatushambulia kwa ghafla.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki