Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Basi Daudi akamshinda Mfilisti huyo kwa kombeo na jiwe; alimpiga Mfilisti huyo na kumuua, ingawa Daudi hakuwa na upanga mkononi mwake.+

  • 1 Samweli 18:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Wanawake hao waliokuwa wakisherehekea walikuwa wakiimba hivi:

      “Sauli ameua maelfu yake,

      Na Daudi makumi yake ya maelfu.”+

  • 1 Samweli 19:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Baada ya muda vita vikatokea tena, na Daudi akaenda kupigana na Wafilisti na kuwaua Wafilisti wengi sana, nao wakakimbia kutoka mbele yake.

  • 2 Samweli 10:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Lakini Wasiria wakawakimbia Waisraeli; na Daudi akawaua Wasiria 700 wanaoendesha magari ya vita na wapanda farasi 40,000, naye akampiga Shobaki mkuu wa jeshi, akafa huko.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki