1 Samweli 17:50 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 50 Basi Daudi, akiwa na kombeo na jiwe, akawa mwenye nguvu zaidi kuliko yule Mfilisti, akampiga Mfilisti na kumuua; na hakuna upanga uliokuwa mkononi mwa Daudi.+
50 Basi Daudi, akiwa na kombeo na jiwe, akawa mwenye nguvu zaidi kuliko yule Mfilisti, akampiga Mfilisti na kumuua; na hakuna upanga uliokuwa mkononi mwa Daudi.+