2 Samweli 8:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Sadoki+ mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Seraya alikuwa mwandishi. 2 Samweli 15:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Kuhani Sadoki na Abiathari wako huko pamoja nawe. Utamwambia kuhani Sadoki na Abiathari mambo yote utakayosikia katika nyumba ya mfalme.+
17 Sadoki+ mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Seraya alikuwa mwandishi.
35 Kuhani Sadoki na Abiathari wako huko pamoja nawe. Utamwambia kuhani Sadoki na Abiathari mambo yote utakayosikia katika nyumba ya mfalme.+