Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 3:26, 27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Ehudi akatoroka walipokuwa wanangoja, naye akapita karibu na sanamu za mawe,*+ akafika salama salimini kule Seira. 27 Alipofika huko, akapiga pembe*+ katika eneo lenye milima la Efraimu;+ na Waisraeli wakashuka pamoja naye kutoka milimani, yeye akiwa mbele yao.

  • 2 Samweli 15:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa Absalomu akawatuma wapelelezi katika makabila yote ya Israeli, akawaambia: “Mara tu mtakaposikia sauti ya pembe, tangazeni hivi: ‘Absalomu amekuwa mfalme katika Hebroni!’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki