Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mhubiri 9:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kulikuwa na jiji dogo lenye wanaume wachache; na mfalme mwenye nguvu akaja, akalizingira, na kujenga ukuta mkubwa ili kulishambulia. 15 Mtu fulani maskini lakini mwenye hekima alipatikana katika jiji hilo, naye akaliokoa kwa hekima yake. Lakini hakuna aliyemkumbuka maskini huyo.+

  • Mhubiri 9:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mtenda dhambi mmoja tu anaweza kuharibu mambo mengi mazuri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki