Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Baadaye Hushai akamwambia Sadoki na Abiathari+ waliokuwa makuhani: “Hivi ndivyo Ahithofeli alivyomshauri Absalomu na wazee wa Israeli, na hivi ndivyo nilivyowashauri.

  • 2 Samweli 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Mfalme Daudi akatuma ujumbe huu kwa Sadoki+ na Abiathari+ waliokuwa makuhani: “Waambieni wazee wa Yuda,+ ‘Kwa nini muwe wa mwisho kunirudisha mimi mfalme nyumbani kwangu, wakati ujumbe wa Waisraeli wote umenifikia nyumbani kwangu?

  • 1 Wafalme 4:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Benaya+ mwana wa Yehoyada alikuwa mkuu wa jeshi; Sadoki na Abiathari+ walikuwa makuhani;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki