Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 4:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Sasa Yonathani+ mwana wa Sauli alikuwa na mwana aliyelemaa miguu.*+ Alikuwa na umri wa miaka mitano wakati habari kuhusu Sauli na Yonathani zilipofika kutoka Yezreeli,+ mlezi wake akambeba na kukimbia, lakini alipokuwa akikimbia kwa woga, mwana huyo alianguka na kulemaa. Mwana huyo aliitwa Mefiboshethi.+

  • 2 Samweli 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wewe na wana wako na watumishi wako mtamlimia shamba lake, nanyi mtayakusanya mavuno ya shamba hilo ili watu wa nyumbani mwa mjukuu wa bwana wako wapate chakula. Lakini Mefiboshethi, mjukuu wa bwana wako, atakula chakula mezani pangu sikuzote.”+

      Siba alikuwa na wana 15 na watumishi 20.+

  • 2 Samweli 19:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Mefiboshethi,+ mjukuu wa Sauli, akashuka pia kuja kumpokea mfalme. Hakuwa ameosha miguu wala kukata kucha zake wala hakuwa amenyoa masharubu yake wala kufua mavazi yake tangu siku ambayo mfalme aliondoka mpaka siku aliyorudi kwa amani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki