Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 10:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Yeyote anayempokea nabii kwa sababu ni nabii atapata thawabu ya nabii,+ na yeyote anayempokea mtu mwadilifu kwa sababu ni mwadilifu atapata thawabu ya mtu mwadilifu. 42 Na yeyote anayempa mmoja wa hawa wadogo kikombe tu cha maji baridi ya kunywa kwa sababu ni mwanafunzi wangu, kwa kweli ninawaambia, hatapoteza kamwe thawabu yake.”+

  • Luka 4:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kwa mfano, kwa kweli ninawaambia: Kulikuwa na wajane wengi Israeli siku za Eliya, mbingu zilipofungwa kwa miaka mitatu na miezi sita, kukawa na njaa kubwa katika nchi yote.+ 26 Lakini Eliya hakutumwa kwa yeyote kati ya wanawake hao, bali kwa mjane mmoja huko Sarefathi katika nchi ya Sidoni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki