Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 25:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Mfalme atawajibu, ‘Kwa kweli ninawaambia, kwa kadiri ambavyo mlimtendea aliye mdogo zaidi kati ya hawa ndugu zangu, mlinitendea mimi.’+

  • Marko 9:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Na yeyote anayewapa kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu ninyi ni wa Kristo,+ kwa kweli ninawaambia hatapoteza kamwe thawabu yake.+

  • Waebrania 6:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kwa maana Mungu hakosi kuwa mwadilifu hivi kwamba asahau kazi yenu na upendo mlioonyesha kwa ajili ya jina lake,+ kwa kuhudumu na kuendelea kuwahudumia watakatifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki