24 Mwishowe wakaingia ndani ili kutoa dhabihu mbalimbali na dhabihu za kuteketezwa. Yehu alikuwa ameweka wanaume wake 80 nje na kuwaambia, “Yeyote kati ya wanaume ninaowatia mikononi mwenu akiponyoka, mtalipia uhai wake kwa uhai wenu.”*
19 Herode akamtafuta kwa bidii, na aliposhindwa kumpata, akawahoji walinzi na kuamuru wapelekwe kuadhibiwa;+ basi akatoka Yudea na kushuka kwenda Kaisaria, akakaa huko kwa muda.