-
Matendo 16:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Mlinzi wa jela, akiamshwa usingizini na kuona milango ya gereza ilikuwa imefunguka, akafuta upanga wake na alikuwa karibu kujimaliza mwenyewe, akiwazia kwamba wafungwa walikuwa wametoroka.
-