-
2 Mambo ya Nyakati 18:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi miaka kadhaa baadaye alishuka kwenda kwa Ahabu kule Samaria,+ na Ahabu akamtolea yeye na watu waliokuwa pamoja naye dhabihu ya kondoo na ng’ombe wengi. Naye akamhimiza* apande kwenda kushambulia Ramothi-gileadi.+ 3 Kisha Mfalme Ahabu wa Israeli akamuuliza Mfalme Yehoshafati wa Yuda: “Je, utaenda pamoja nami Ramothi-gileadi?” Akamjibu: “Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako, nao watakuunga mkono vitani.”
-