Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 22:47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Wakati huo hakukuwa na mfalme katika nchi ya Edomu;+ naibu ndiye aliyetawala kama mfalme.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 21:8-10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Katika siku zake, Waedomu waliasi nchi ya Yuda+ na kujichagulia mfalme wao wenyewe.+ 9 Basi Yehoramu na makamanda wake wakavuka na magari yake yote ya vita, naye akaondoka usiku na kuwashinda Waedomu waliokuwa wamemzingira yeye na makamanda wake wa magari ya vita. 10 Lakini tangu siku hiyo Waedomu wameendelea kuiasi nchi ya Yuda. Watu wa Libna+ pia walimwasi Yehoramu wakati huo, kwa sababu alikuwa amemwacha Yehova Mungu wa mababu zake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki