Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 22:47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Wakati huo hakukuwa na mfalme katika nchi ya Edomu;+ naibu ndiye aliyetawala kama mfalme.+

  • 2 Wafalme 8:20-22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Katika siku za Yehoramu, Waedomu waliasi dhidi ya Yuda,+ nao wakajichagulia mfalme wao wenyewe.+ 21 Basi Yehoramu akavuka kwenda Sairi na magari yake yote ya vita, akaondoka usiku na kuwashinda Waedomu waliokuwa wamemzingira yeye na makamanda wa magari ya vita; na wanajeshi wakakimbilia katika mahema yao. 22 Lakini tangu siku hiyo Waedomu wameendelea kuiasi nchi ya Yuda. Watu wa Libna+ waliasi pia wakati huo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki