Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 21:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Yehoramu alipochukua mamlaka ya ufalme wa baba yake, aliimarisha mamlaka yake kwa kuwaua ndugu zake wote+ kwa upanga, na pia baadhi ya wakuu wa Israeli.

  • 2 Mambo ya Nyakati 22:10-12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Athalia,+ mama ya Ahazia, alipoona kwamba mwanawe amekufa, alitoka na kuangamiza uzao wote wa kifalme* wa nyumba ya Yuda.+ 11 Hata hivyo, Yehoshabeathi binti ya mfalme alimchukua Yehoashi+ mwana wa Ahazia, akamwiba kutoka miongoni mwa wana wa mfalme waliopaswa kuuawa na kumweka yeye pamoja na mlezi wake katika chumba cha ndani cha kulala. Yehoshabeathi binti ya Mfalme Yehoramu+ (alikuwa mke wa kuhani Yehoyada+ na dada ya Ahazia) alifanikiwa kumficha ili Athalia asimwone, kwa hiyo hakumuua.+ 12 Akakaa pamoja nao kwa miaka sita, akiwa amefichwa katika nyumba ya Mungu wa kweli Athalia alipokuwa akiitawala nchi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki