Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 22:15-19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Bwana Mwenye Enzi Kuu, Yehova wa majeshi, anasema hivi: “Ingia kwa huyu msimamizi-nyumba, kwa Shebna,+ anayesimamia nyumba,* na umwambie,⁠ 16 ‘Una masilahi gani hapa, na je, una mtu wako hapa hivi kwamba umejichimbia kaburi hapa?’ Anachimba kaburi lake mahali palipoinuka; anajichongea mahali pa kupumzika* katika jabali. 17 ‘Tazama! Yehova atakutupa chini kwa nguvu, ewe mwanamume, na kukukamata kwa nguvu. 18 Hakika atakufunga kwa nguvu na kukurusha kama mpira katika nchi pana. Utafia huko, na huko magari yako yenye utukufu yatakuwa fedheha kwa nyumba ya bwana wako. 19 Nami nitakung’oa madarakani na kukufukuza kutoka katika cheo chako.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki